Mafao ya Wategemezi

Sifa Zinazohitajika

  • Hutolewa kwa wategemezi wa mwanachama aliyefariki akiwa katika ajira na Mwanachama anayefariki anatakiwa awe amechangia katika Mfuko kwa kipindi kipindi kisichopungua miezi 180.

Taratibu za Utoaji wa Mafao ya Wategemezi

i). Hutolewa kwa wategemezi ambao  ni mke au mme, watoto wa mwanachama aliyefariki ambao wana umri wa chini ya miaka 18, au wazazi wa mwanachama aliyefariki

ii) Mafao haya hutolewa kila mwezi kwa muda wa miezi 36

   

Nyaraka Zinazohitajika/zinazotumika katika kutoa Mafao ya Wategemezi

i) Fomu ya madai ya mafao iliyojazwa na mwajiri.

ii) Cheti cha kiapo cha wategemezi wa mwanachama aliyefariki (pamoja na picha);

iii)   Nakala zilizothibitishwa za vyeti vya kuzaliwa endapo     mtegemezi ni mtoto au watoto

iv) Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha ndoa endapo mtegemezi ni mke au mme

 v) Picha moja ya msimamizi wa mirathi (pasipoti);

vi) ) Maelezo ya benki-jina na akaunti, kwa ajili ya malipo ya mafao ya wategemezi.

 

Kanuni ya ukokotoaji wa Mafao ya Wategemezi

APE x PS x PF x 0.75 x 1/12

 

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

 

Hosea Kashimba - Ag. Director General

 Director of Planning and Investments

Mr. Steven Alfred

Director of Planning and

Investments

Director of Information Systems 

Mr. Robert Mtendamema

Director of Information

Systems

Director of Finance 

Mr. Martin Mmari

Director of Finance

Director of Legal Services

 Ms. Vupe Ligate

Director of Legal Services

 Director of Internal Audit

Mr. Fredrick Kaleb Maro

Ag. Director of Internal

Audit

Director of Human Capital Management and Administration 

 Mr. Julius K Mganga

Director of Human Capital

Management & Administration

Director of Operations

Ms. Assumpta Maina Mallya

Director of Operations

Director of Risk Management

Ms. Uphoo Swai

Director of Risk Management