Mafao ya Ugonjwa

Sifa Zinazohitajika

Kuondoka katika ajira kwa sababu za ugonjwa

Taratibu za Utoaji wa Mafao ya Ugonjwa

  • Endapo muda wa kuchangia ni miezi 180 au zaidi, Mafao ya Mkupuo mara tu anapoondoka katika ajira, Mafao ya kila mwezi hadi mwanachama atakapofariki bila ya kuangalia umri wa mwanachama
  • Endapo muda wa kuchangia in chini ya miezi 180, Mafao ya mkupuo mara tu anapoondoka katika ajira

Nyaraka Zinazohitajika katika Mafao ya Ugonjwa

  • Fomu ya madai ya mafao iliyojazwa na mwajiri
  • Nakala ya taarifa iliothibitishwa na Daktari kuhusu ugonjwa wa mwanachama
  • Picha mbili za mwanachama (Pasipoti saizi)
  • Maelezo ya banki- jina na akaunti, kwa ajili ya malipo ya pesheni ya kila mwezi.

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

 

Hosea Kashimba - Ag. Director General

 Director of Planning and Investments

Mr. Steven Alfred

Director of Planning and

Investments

Director of Information Systems 

Mr. Robert Mtendamema

Director of Information

Systems

Director of Finance 

Mr. Martin Mmari

Director of Finance

Director of Legal Services

 Ms. Vupe Ligate

Director of Legal Services

 Director of Internal Audit

Mr. Fredrick Kaleb Maro

Ag. Director of Internal

Audit

Director of Human Capital Management and Administration 

 Mr. Julius K Mganga

Director of Human Capital

Management & Administration

Director of Operations

Ms. Assumpta Maina Mallya

Director of Operations

Director of Risk Management

Ms. Uphoo Swai

Director of Risk Management