Mafao ya Kiinua Mgongo

Sifa Zinazohitajika

  • Hutolewa kwa mwanachama aliyeondoka katika ajira akiwa na kipindi cha kuchangia ambacho ni chini ya miezi 180
  • Sababu za kuondoka katika ajira ni kupunguzwa kazini, kustaafishwa kwa manufaa ya umma au kuondolewa na Mamlaka iliyokuweka katika ajira

Taratibu za Utoaji wa Mafao ya Kiinua Mgongo

  • Hutolewa kwa mkupuo wa mara baada ya mwanachama kuondoka katika ajira

Nyaraka zinazohitajika katika Mafao ya Kiinua Mgongo

  • Fomu ya maombi ya mafao iliyojazwa na mwajiri
  • Uthibitisho kutoka kwa mwajiri wa mwanachama kuondolewa katika ajira

Malipo ya mkupuo = Sio chini ya wastani wa michango ya mwanachama na ya mwajiri na riba itakayoamriwa na Mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)

 

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

 

Hosea Kashimba - Ag. Director General

 Director of Planning and Investments

Mr. Steven Alfred

Director of Planning and

Investments

Director of Information Systems 

Mr. Robert Mtendamema

Director of Information

Systems

Director of Finance 

Mr. Martin Mmari

Director of Finance

Director of Legal Services

 Ms. Vupe Ligate

Director of Legal Services

 Director of Internal Audit

Mr. Fredrick Kaleb Maro

Ag. Director of Internal

Audit

Director of Human Capital Management and Administration 

 Mr. Julius K Mganga

Director of Human Capital

Management & Administration

Director of Operations

Ms. Assumpta Maina Mallya

Director of Operations

Director of Risk Management

Ms. Uphoo Swai

Director of Risk Management