Mafao ya Kifo

Sifa Zinazohitajika

Mafao ya kifo hutolewa na PPF pale mwanachama anapofariki akiwa bado katika ajira

Taratibu za Utoaji wa Mafao ya Kifo

  • Hutolewa kwa msimamizi wa mirathi ya mwanachama aliyefariki akiwa katika ajira
  • Mafao ya kifo ni kiasi kilicho kikubwa kati ya mshahara wa mwaka unaotumika katika mafao au mafao ya mkupuo endapo mwanachama aliyefariki alikuwa amechangia Mfuko kwa kipindi kisichopungua miezi 180

Nyaraka Zinazohitajika katika Mafao ya Kifo

  • Fomu ya madai ya mafao iliyojazwa na mwajiri
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha kifo au hati ya kifo ya mwanachama aliyefariki
  • Uthibitisho wa msimamizi wa mirathi aliyeteuliwa
  • Picha mbili za msimamizi wa mirathi  (Pasipoti)

 

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

 

Hosea Kashimba - Ag. Director General

 Director of Planning and Investments

Mr. Steven Alfred

Director of Planning and

Investments

Director of Information Systems 

Mr. Robert Mtendamema

Director of Information

Systems

Director of Finance 

Mr. Martin Mmari

Director of Finance

Director of Legal Services

 Ms. Vupe Ligate

Director of Legal Services

 Director of Internal Audit

Mr. Fredrick Kaleb Maro

Ag. Director of Internal

Audit

Director of Human Capital Management and Administration 

 Mr. Julius K Mganga

Director of Human Capital

Management & Administration

Director of Operations

Ms. Assumpta Maina Mallya

Director of Operations

Director of Risk Management

Ms. Uphoo Swai

Director of Risk Management