Mafao ya Elimu

Sifa Zinazohitajika

 • Hutolewa kwa watoto wa mwanachama anayefariki akiwa katika ajira na tayari amekwisha changia miezi 36 au zaidi.

Taratibu za Utoaji wa Mafao ya Elimu

 • Hutolewa kwa watoto wa mwanachama aliyefariki akiwa kazini wasio zidi wanne,. hulipiwa gharama za masomo kuanzia  chekechea hadi kidato cha sita
 • Mwajiri anahitajika kutoa taarifa PPF pindi mfanyakazi anapofariki dunia pamoja na copy ya cheti cha kifo na maelezo muhimu kuhusu watoto wa marehemu-majina kamili na majina ya shule.
 • Kila mtoto atagharamiwa kiasi kisichozidi 1/12 ya mshahara wa mwaka wa mwanachama aliyefariki akiwa      katika ajira
 • PPF hulipa moja kwa moja gharama hizo kwenye    akaunti za shule husika kila mwanzo wa mwaka wa    masomo
 • Malipo kwa wanafunzi wa shule za serikali kuanzia shule ya msingi hadi sekondari (Kidato cha nne) malipo hulipwa kwa wazazi/walezi badala ya shule

Nyaraka Zinazohitajika katika katika Mafao ya Elimu

 • Fomu ya madai ya mafao ya  elimu iliyojazwa kikamilifu kutoka kwa mwajiri wa marehemu
 • Nakala ya vyeti vya kuzaliwa vilivyothibitishwa kwa kila mtoto wa marehemu
 • Fomu ya PPF iliyo jazwa na kuthibitishwa na shule husika
 • Kwa mwanafunzi wa kidato cha tano na sita anatakiwa kuwasilisha matokeo yake kabla ya kupata mafao
 • Kwa mwanafunzi anaye endelea na masomo anatakiwa kuwasilisha ripoti ya matokeo yake ya kila mwaka,

Ukokotozi wa Mafao ya Elimu

i) Kiwango kisichozidi 1/12 ya APE kwa mwaka kwa kila mtoto

Management of the fund comprises of the Director General who is the Chief Executive Officer and eight directors as follows:

 

Hosea Kashimba - Ag. Director General

 Director of Planning and Investments

Mr. Steven Alfred

Director of Planning and

Investments

Director of Information Systems 

Mr. Robert Mtendamema

Director of Information

Systems

Director of Finance 

Mr. Martin Mmari

Director of Finance

Director of Legal Services

 Ms. Vupe Ligate

Director of Legal Services

 Director of Internal Audit

Mr. Fredrick Kaleb Maro

Ag. Director of Internal

Audit

Director of Human Capital Management and Administration 

 Mr. Julius K Mganga

Director of Human Capital

Management & Administration

Director of Operations

Ms. Assumpta Maina Mallya

Director of Operations

Director of Risk Management

Ms. Uphoo Swai

Director of Risk Management